Moremi Ajasoro alikuwa malkia wa hadithi wa Wayoruba na shujaa wao katika eneo la Kusini Magharibi mwa Nigeria ya leo ambaye alisaidia katika ukombozi wa ufalme wa Yoruba wa Ife kutoka kwa ufalme wa jirani wa Ugbo.[1]
Moremi alikuwa ameolewa na Oranmiyan, mwana wa Oduduwa, mfalme wa kwanza wa Ife.[2][3][4]
{{cite journal}}
: Cite journal requires |journal=
(help)CS1 maint: date auto-translated (link)
© MMXXIII Rich X Search. We shall prevail. All rights reserved. Rich X Search